JINSI YA KUTUMA MAOMBI AJIRA ZA UALIMU|AFYA 2022 APPLY NOW

Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR – TAMISEMI) imepata kibalicha ajira za Watumishi wa Kada za Afya 7,612 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri,Vituo vya Afya na Zahanati pamoja na Ualimu 9,800 wa Shule za Msingi na Sekondariwatakaofanya kazi chini ya Mamlaka za Serikali za Mitaa. Hivyo, wahitimu kutoka kwenye